Showing posts with label Game Akili. Show all posts
Showing posts with label Game Akili. Show all posts

Friday, July 13, 2012

MONUMENT BUILDER - TITANIC

0 comments

INGIA katika historia muhimu kupata kutokea duniani kuunda meli maarufu ya Titanic na uwe mmojawapo ndani ya Monument Builders: Titanic! Tumia utaalam wakowa kulinda muda  kupata mbao na vyuma ambavyo vitatumika katika ujenzi wa meli maarufu zaidi duniani. Ongoza, fundisha na ajiri wafanyakazi ili kufanya wepesi wa kumaliza kwa haraka kazi hiyo ya uundaji ili umalize kabla ya UZINDUZI WA TITANIC. Kua makini na wezina shinda vikwazo lukuki kwenye Monument Builders: Titanic!
  • Dhibiti malighafi
  • Ongoza ufanyaji wa kazi
  • Unda meli ya Titanic!

System Requirements:
  • OS: Windows XP/Windows Vista/Windows 7
  • CPU: 1.4 GHz
  • RAM: 1024 MB
  • DirectX: 9.0
  • Hard Drive: 113 MB


                                                                                                              
                                                                                 






Download Bure

SUPER GRANNY 4

0 comments



Download Bure

MAGIC FARM 2 - FAIRY LANDS

0 comments


UNGANA na Iris and Robin kwenye safari nzuri na ndani ya safari hiyo wasaidie kushinda mashindano ya Maajabu kwenye Magic Farm 2: Fairy Lands! Kwa msaada wa marafiki wapya na wa zamani, pia ardhi iliyoboreshwa, gemu hii ya kumeneji muda itakufanya uwe bizi kwa raha muda mwingi! Panda na kusanya mauwa na timiza matakwa yasiyo kawaida ili ufanikiwe!




  • Aina nzuri ya mchezo
  • Action za hali ya juu
  • Na shinda Magical Tournament!


System Requirements:
  • OS: Windows XP/Windows Vista/Windows 7
  • CPU: 1.0 GHz
  • RAM: 512 MB
  • DirectX: 9.0
  • Hard Drive: 152 MB




Download Bure

BOOKWORM DELUXE!

0 comments

Tutakutamkia : F-U-N! Shabihisha herufi na unda maneno katika gemu hii ya mafumbo. Lex, Bookworm mwenyewe,ishi kwa kula herufi unazoziunda kwa kuziunganisha pamoja. Mshibishe kwa kujaza tumbo lake ndiiii na utajipatia pointi nyingi. Gemu hii usihofu muda, tulia na panga kwa makini muvu zako. Jiangalie: Ukichoma tiles nyekundu zinazotishia kuanzisha moto library.

  • Tamka maneno upate point za nguvu.
  • Panga pangua na panga tena ndo aina ya gemu hii.
  • gemu itayokushughulisha kwa watu wa umri wowote.


System Requirements:
  • OS: Windows 2000/XP/Vista
  • CPU: 600 Mhz
  • RAM: 128 MB
  • DirectX: 6.0
  • Hard Drive: 10 MB






Download Bure

COOKING ACADEMY 2

0 comments

KARIBU kwenye duka la kutengeza misosi! Cooking Academy 2 itakupeleka majiko ya migahawa duniani kote, kuanzia  BBQ Buns, mpaka Mexican Tamales, mpaka Japanese Sushi, fanikisha kutumia zaidi ya viungo 60 tofauti tofauti kutoka nchi nane tofauti! Jifunze vijimambo kuhusu chakula ukiwa unashika vilivyo mbinu mpya na mini-games zikiwemo hstua za chakula, vichanganywa, kuhifadhi na kutumia fridge na mengineyo mengi!
  • Viungo vya Kipekee
  • Geme za mapishi za Kusisimua
  • Tambua Vyakula vya kimataifa
  • Anza ya kwanza Cooking Academy

System Requirements:
  • OS: Windows XP/Vista/7
  • CPU: 1.0 GHz
  • RAM: 512 MB
  • DirectX: 9.0
  • Hard Drive: 98 MB




Download Bure

BEJEWELED 2 DELUXE

0 comments

Ni kuonesha maarifa ya kupanga vinavyofanana kupitia Bejeweled 2. Umeshawahi jiulizwa kwa nini mara nyingi gemu za kufananisha vitu vitatu watu wengi huzeinjoy? Jaribu na utajua. Kwa kukuondolea uchovu na kukupa nguvu ya kucheza zaidi. Utaendelea kuenjoy.
  • Njia 4 za kucheza.
  • Gemu uchezayo sasa kukutengenezea njia nzuri baabae.
  • Game maarufu ya mafumbo.

System Requirements:
  • OS: Windows 2000/XP/Vista/7
  • CPU: 600 Mhz
  • RAM: 128 MB
  • DirectX: 6.0
  • Hard Drive: 38 MB







Download Bure

ZUMA REVENGE!

0 comments

ANGALIA usipoteze roho na hakikisha hakuna kinachokatisha ndani ya  Zuma’s Revenge – Adventure, gemu nzuri ya vijigoroli. Shinda kila levo kwa kufyatua matufe ili kuweka ufanano, na washinde mabosi ^ wajiitao TIKI. Ruka kutoka Uanja mmoja hadi mwingine ili upate kurenga sawia! Epuka makosa wa kurusha tufe pasipo.
  • Game maarufu Bongo
  • Ushindani zaidi kwa mabosi
  • Ruka kwenye action za kuvunja mipira


System Requirements:
  • OS: Windows XP/Vista/7
  • CPU: 800 Mhz
  • RAM: 256 MB
  • DirectX: 8.1
  • Hard Drive: 108 MB







Download Bure

PLANTS vs ZOMBIES

0 comments
Wafu wanashambulia nyumba yako na hasa wanataka ubongo wa yoyote aliye ndani ! Bahati!, una silaha usiyoitarajia, mazao uliyopanda mbele ya nyumba yako ndio muokozi wako katika Plants vs. Zombies! Unagundua unasilaha tele mbele ya bustani yako kuanzia peashooters, melon-paults, and cherry bombs, kwa kua mbegu bado unazo unatakiwa kufikiri kwa haraka, na kupanda kwa haraka pia, kuzuia WAFU watembeeao kwenye mstari ulionyooka kukaaribia lango lako. Vipingamizi kama Kuzama kwa jua, umande, na bwawa la kuogelea vinaongeza manjonjo na kufanya uendelee ku have fun kwenye gemu hii!
  • Viumbe vya ajabu
  • Fikiria Haraka
  • Linda Ubongo Wako!

System Requirements:
  • OS: Windows XP/Vista/Win7
  • CPU: 1.2 GHz
  • RAM: 512 MB
  • DirectX: 8.0
  • Hard Drive: 52 MB








Download Bure
Powered by Blogger.